Vitunguu maji ni zao linalohitaji maji ya kutosha. Ili zao hili listawi zaidi,basi hatuna budi tuwe na jitihada kubwa katika zoezi zima la kushirikiana katika kumwagilia, Endapo zao hili halitopata maji ya kutosha basi hatuwezi kupata mazao yaliyo bora kwa sababu uzalishaji wake utakuwa ni mdogo sana kutokana na kudumaa kwa mazao hayo. Hivyo basi tunashauriwa kutumia mbolea na kufuata kanuni mbalimbali tunazoshauriwa na wataalamu wa kilimo juu ya zao hili.

No comments:
Post a Comment